Serikali ilivyojizatiti kuondoa nishati isiyo salama ya kupikia

Dar es Salaam. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanyika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Watanzania wengi bado wanatumia isiyo salama, hali inayohatarisha afya zao na kuharibu mazingira. Hatua hiyo inaifanya Serikali kusimama kikamilifu katika utekelezaji wa mkakati unaolenga kufikia 2034 asilimia 80 ya Watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia. Katibu Mkuu wa Wizara…

Read More

Watu 33,000 hufariki kila mwaka kuvuta hewa chafu

Dar es Salaam. Kwa Tanzania watu takribani 33, 000 hufariki dunia kwa mwaka kutokana na magonjwa ya mfumo wa kupumua ambayo huchangiwa na uvutaji wa moshi unaotokana na matumizi ya nishati ya kupikia isiyosafi. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba leo Ijumaa Septemba 12, 2025 wakati akizungumza kwenye Jukwaa…

Read More

Nishati safi itakavyookoa maisha, kufungua fursa za kiuchumi

Dar es Salaam. Kampeni ya nishati safi ya kupikia katika muktadha wa Dira ya Taifa 2025 inalenga kuokoa maisha, kuboresha afya za wanawake na watoto pamoja na kulinda mazingira. Kutokana na mikakati hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited MCL), Rosalynn Mndolwa-Mworia amesema kuna kila sababu kwa wadau na Serikali kuunganisha nguvu kuhakikisha Taifa linapata…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Ahadi zenu zisigeuzwe chachandu za kampeni

Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025 zinazidi kupamba moto. Kila mgombea katika nafasi anayoipigania amekuwa akiongeza kasi inayoambatana na vionjo vipya kwenye ahadi zake. Kuna wanaoleta ucheshi, lakini wengi wao wamebeba mafurushi ya ahadi bila kujali utekelezekaji wake. Mgombea ataahidi lolote hata kabla hajajua nini mahitaji ya mahala husika, atajinadi kutokomeza changamoto hata kabla hajazisikia. Tumesikia…

Read More