
Jaji Warioba akosoa ‘uchawa’ kwenye vyombo vya habari
Dar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amevitaka vyombo vya habari kujikita katika kutoa habari zinazowahusu wananchi zaidi badala ya viongozi. Kwa mujibu wa Jaji Warioba, hivi sasa kumejitokeza baadhi ya vyombo vya habari ambavyo vimegeuka kuwa vya propaganda. Jaji Warioba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, amesema chombo chochote…