BRELA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI,KUANZA KUTOA TUZO

Na Said Mwishehe,Michuzi TV – Morogoro  WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) wataanza kutoa tuzo Maalum kwa waandishi wa habari za biashara ambao watakuwa wakiandika makala zenye matokeo chanya kwa jamii lakini makala ambazo zitakuwa zimejitosheleza.   Ameyasema hayo leo Juni 18, 2024 jijini Morogoro,Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na…

Read More