Balozi Ruhinda kuzikwa kesho Ununio, kuagwa KKKT Masaki

Dar es Salaam. Mmoja wa waasisi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Balozi Ferdinand Ruhinda (86) aliyefariki dunia juzi Juni 14, 2024 jijini Dar es Salaam, anatarajiwa kuzikwa kesho Jumatatu katika makaburi ya Kondo yaliyopo Ununio. Akizungumza leo Jumapili, Juni 16, 2024 Msemaji wa familia, ambaye ni mdogo wa marehemu, Edward Ruhinda amesema kabla…

Read More

Tangulia Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda

TAIFA liko msibani. Usiku wa juzi Ijumaa, saa 3:00 usiku alifariki dunia mmoja wa Watanzania walioweka alama ya pekee katika historia ya taifa letu, Balozi Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda (1938-39). Balozi Ruhinda anayetoka katika familia ya uchifu ni Mwandishi wa Habari kitaaluma na mwanadiplomasia. Alipata elimu yake ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha…

Read More

Tanzia: Tangulia Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda

Taifa liko msibani. Usiku wa Ijumaa majira ya saa 3:00 usiku, Juni 14, 2024, alifariki dunia mmoja wa Watanzania walioweka alama ya pekee katika historia ya Taifa letu, Balozi Chifu, Ferdinand Kamuntu Ruhinda (1938-39). Balozi Ruhinda anayetoka katika familia ya uchifu ni mwandishi wa habari kitaaluma na mwana diplomasia. Alipata elimu yake ya uandishi wa…

Read More