Balozi Ruhinda afariki dunia | Mwananchi

Dar es Salaam. Mmoja wa waasisi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Balozi Ferdinand  Ruhinda (86) amefariki dunia leo Juni 15, 2024 nyumbani kwake Masaki, Dar es Salaam kutokana na maradhi ya kisukari. Mdogo wa marehemu, Edward Ruhinda amethibitisha kutokea kwa kifo cha kaka yake akisema ameugua kwa muda mrefu na amekuwa akihudumiwa na…

Read More

Safari ya MCL kuelekea mustakabali endelevu wa mazingira

Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeahidi kuendelea kutoa maudhui kwa njia ya dijitali kupunguza athari za uharibifu wa mazingira. Mkurugenzi Mtendaji wa MCL, Bakari Machumu amesema kampuni imejitathmini na sasa imejikita zaidi katika mitandao ya kijamii ingawa bado inaendelea na uchapishaji wa magazeti. Machumu amesema haya kwenye Jukwaa la Fikra lililoandaliwa…

Read More

Machumu azungumzia ushiriki  wa MCL katika kulinda mazingira

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu amesema kampuni hiyo kwa sasa imejikita zaidi kwenye utengenezaji wa maudhui ya kidijitali kupitia mitandao yake ya kijamii. Amesema huo ni mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kuwa miti imekuwa ikitumika kutengeneza karatasi ambazo ni bidhaa inayotumika kuzalisha magazeti. Hata hivyo, amesema…

Read More

MCL yajikita kuhamasisha uelewa wa  mabadiliko ya tabianchi kidijitali

Dar es Salaam.  Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeahidi kuendelea kutoa maudhui katika kuhamasisha uelewa wa mabadiliko ya tabianchi kidijitali. Haya yalielezwa na Mhariri Mtendaji Mkuu wa MCL, Victor Mushi kwenye Kongamano la Jukwaa la Fikra linalowakutanisha wadau mbalimbali wa mazingira kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi.  Jukwaa hili linajadili mada isemayo: “Safari kuelekea…

Read More