Kigaila: Msigwa aje kulalamika vikaoni

Dar es Salaam. Siku moja baada ya aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa kudai kuwa msimamizi wa uchaguzi huo, Benson Kigaila kushindwa kusimamia vema mchakato huo, mwenyewe amemjibu akimtaka awasilishe malalamiko yake katika vikao.  Kigaila aliyekuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo uliofanyika Mei 29, 2024 Makambako mkoani Njombe, amesema Chadema haiwezi…

Read More

Bakari Machumu atangaza kustaafu MCL

Dar es Salaam. Baada ya miaka minne ya mafanikio ya kiuongozi akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu ametangaza kustaafu ifikapo Agosti 31, 2024. Machumu ambaye amehudumu kwa muda mrefu katika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya kampuni hiyo hadi kufika ngazi ya mkurugenzi mtendaji, ametangaza hilo leo Jumatatu Juni…

Read More