Balozi Ruhinda, mpinzani wa uchifu wa kikoloni

Tukiwa bado na majonzi ya kumpoteza Balozi Ferdinand Kamuntu Ruhinda, mmoja kati ya wazalendo walioitumikia nchi hii kwa muda mrefu na kwa mapenzi makuu, hatuna budi kuendelea kuyaenzi yale mazuri aliyoyafanya. Kuna mambo mengi aliyoyafanya, ambayo hayakujulikana kabla ya kifo chake na hivyo kumfanya awe maarufu baada ya kuondoka duniani kuliko kipindi cha uhai wake….

Read More