Tanzia: Tangulia Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda
Taifa liko msibani. Usiku wa Ijumaa majira ya saa 3:00 usiku, Juni 14, 2024, alifariki dunia mmoja wa Watanzania walioweka alama ya pekee katika historia ya Taifa letu, Balozi Chifu, Ferdinand Kamuntu Ruhinda (1938-39). Balozi Ruhinda anayetoka katika familia ya uchifu ni mwandishi wa habari kitaaluma na mwana diplomasia. Alipata elimu yake ya uandishi wa…