
Machungu intaneti bado yauma | Mwananchi
Dar es Salaam. Huenda athari zaidi za kukosekana kwa huduma ya mtandao wa intaneti, zikaendelea kuonekana kutokana na mazingira yanayoonyesha huenda tatizo hilo likachukua zaidi ya siku 10 tangu lilipoanza. Tatizo la kukosekana kwa mtandao huo, zilianza asubuhi ya Mei 12, mwaka huu baada ya kukatika kwa mkongo wa mawasiliano baharini wa SEACOM na EASSy…