
Morocco yaweka rekodi CHAN ikitwaa ubingwa
MOROCCO imeweka rekodi mpya katika michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kutwaa taji la tatu ikiwa ndiyo timu iliyochukua mara nyingi zaidi. Rekodi hiyo imeiweka kufuatia ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Agosti 30, 2025 kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi uliopo…