
Simba yabisha hodi Mamelodi, yaondoka na De Reuck
SIMBA inaripotiwa imemnasa beki wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Rushine De Reuck kwa mkataba wa mwaka mmoja. Mtandao wa idiskitimes.co.za wa Afrika Kusini umeripoti kwamba beki huyo mwenye umri wa miaka 29 anaondoka Mamelodi Sundowns baada ya kuitumikia kwa miaka minne. Ndani ya Simba, De Reuck anategemewa kuziba pengo la Che Fondoh Malone ambaye ameachana…