
Hamdi achomoa mtaalamu Singida Black Stars
ALIYEKUWA Kocha mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi aliyepo Ismailia ya Misri, amemchomoa mtaalam mmoja kutoka timu aliyowahi kufanya nao kazi ya Singida Black Stars. Hamdi aliyeondoka Yanga mara baada ya kuwapa mataji mawili kwa mpigo ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho (FA), mbali na lile la Kombe la Muungano aliwahi kuinoa Singida kwa muda…