
Kundi B linavyoipa matumaini Taifa Stars CHAN 2024
Timu 19 zilizogawanywa katika makundi manne zitashiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza Ligi za Ndani (CHAN) 2024 zitakazofanyika kuanzia Agosti 2 hadi 30 mwaka huu katika nchi za Kenya, Uganda na Tanzania. Kundi A ambalo mechi zake zitachezwa katika nchi ya Kenya, linaundwa na wenyeji, Morocco, Angola, DR Congo na Zambia huku…