
Kocha Mfaransa atua Yanga na jembe jipya
KLABU ya Yanga imeendelea kuboresha benchi lake la ufundi kwa kufanya usajili mwingine muhimu, safari hii ikimleta kocha mkongwe wa makipa kutoka Tunisia, ambaye anatarajiwa kuungana rasmi na Kocha Mkuu, Romain Folz raia wa Ufaransa. Kocha huyo wa makipa anayekuja kuchukua nafasi ya Alae Meskini aliyetimkia AS FAR Rabat ya Morocco tangu Februari 19, 2025,…