
Offen Chikola asaini Yanga | Mwanaspoti
YANGA SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa 2025-2026 ambapo leo Juni 22, 2025 imemtambulisha winga, Offen Chikola. Kwa mujibu wa Yanga, Chikola amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Tabora United. Nyota huyo anakumbukwa na Wananchi kufuatia msimu uliopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara duru la kwanza kufunga…