
Williamu atamba kushika nafasi ya kwanza
Wakati mchuano mkali wa ufungaji ukiendelea katika Ligi ya kikapu Dar es Salaam (BDL) kwa upande wachezaji wazawa, Isaya Williamu wa DB Oratory ndiye mchezaji pekee anayechuana vikali na wa kigeni. Mchezaji huyo anayecheza nafasi ya namba 2 ‘Shooting Guard’ anashika nafasi ya pili kwa kufunga pointi 201, huku ya kwanza ikishikwa na Mkongo Ntibonela…