
Hamad Majimengi anukia Mbeya City
MABOSI wa Mbeya City wanasuka kikosi hicho kimyakimya kwa ajili ya kuleta ushindani msimu ujao wa 2025-2026 na kwa sasa wako katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa winga mshambuliaji wa Pamba Jiji, Hamad Majimengi. Nyota huyo aliyejiunga na Pamba kwa mkopo katika dirisha dogo la Januari 2025, akitokea Singida Black Stars, sio…