
Waarabu wapiga kambi Singida Black Stars
WAKATI kiungo wa Singida Black Stars raia wa Ivory Coast, Josaphat Arthur Bada akidaiwa kukaribia kujiunga na JS Kabylie ya Algeria, nyota mwingine wa timu hiyo pia, Marouf Tchakei anawindwa na Ismaily SC ya Misri ili kuichezea msimu ujao. Taarifa ambazo Mwanaspoti lilizipata, zinaeleza Tchakei raia wa Togo ni chaguo la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi…