
Hassan Kibailo mbioni kutua Pamba Jiji
Pamba Jiji inafanya mazungumzo ya kumrejesha aliyekuwa beki wa kulia wa kikosi hicho, Hassan Kibailo, baada ya nyota huyo kudaiwa hayupo tayari kuendelea kuichezea Namungo na anaangalia sehemu ya kupata changamoto nyingine mpya. Kibailo ni miongoni mwa nyota waliotokea mtaani na soka lake alilianzia huko katika timu ya Pasias Boys ‘Juma Kampong’ ya jijini Mwanza…