
Mabosi Simba washtuka! | Mwanaspoti
MABOSI wa Simba wameshtuka. Baada ya kushindwa kumnasa Balla Mousa Conte, kisha kumpoteza beki wa kushoto, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ anayedaiwa kusajiliwa Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, kumewafanya wazinduke na kuanza kufanya mambo yao kimyakimya. Simba iliyoanza kumfukuzia Bella Conte, ilijikuta ikipigwa bao…