
JKU Academy yaisulubu Al Qaida Yamle Yamle Cup
MICHUANO ya Yamle Yamle Cup inayoendelea kuchezwa Uwanja wa Mao A na B kisiwani Unguja, ipo mzunguko wa pili ambapo imeshuhudiwa jana Ijumaa Julai 18, 2025, JKU Academy ikichomoza na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Al Qaida ukiwa ni mchezo wa Kundi B. JKU Academy imepata ushindi huo wa pili mfululizo na kuongoza…