
Maxime amalizana na Dodoma Jiji, Anicet anahesabu siku
RASMI Dodoma Jiji imemalizana na makocha wake walioisimamia timu hiyo msimu uliopita, ikiwakabidhi barua za kuhitimisha mikataba yao kwa makubaliano ya pande mbili akiwamo aliyekuwa kocha mkuu, Mecky Maxime. Dodoma Jiji imefikia uamuzi huo baada ya Maxime kuifundisha kwa msimu mmoja tu ikimaliza katika nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara huku kocha…