
Mzimbabwe anukia Yanga, Mbaga akiaga
ALIYEKUWA Kocha wa utimamu wa mwili wa Yanga Princess, Alli Mbaga ameaga rasmi kwenye kikosi hicho baada ya mkataba wake kumalizika na inaelezwa viongozi wa timu wameanza mazungumzo na Mzimbabwe Brenda Chaoor. Brenda, ambaye aliwahi kuzifundisha Simba Queens kabla ya kutimkia Fountain Gate Princess ambako alihudumu kwa msimu mmoja. Sasa inaelezwa kuwa anatajwa Jangwani na…