
Yanga yatumia mbinu za kimafia, yamshusha Conte
ILE vita ya kuwania kiungo Moussa Bala Conte kutoka Guinea, imeisha baada ya Yanga kumtambulisha rasmi leo mchana ikiizidi kete Simba iliyoanza mapema kumtamani mchezaji huyo. Iko hivi. Simba ndio walikuwa wa kwanza kumshawishi kiungo huyo wa CS Sfaxien ya Tunisia, kisha wakazungumza…