Simba yawaita mapema kina Ahoua, Camara

NYOTA wa Simba akiwamo Jean Charles Ahoua, Moussa Camara na wenzao wengine waitwa mapema kambini mwishoni mwa mwezi huu ili kujiandaa na maandalizi ya msimu mpya wa 2025-2026. Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema wachezaji wote wapya na ambao wanatakiwa kuendelea na timu hiyo wote wanatakiwa kurejea mwisho wa mwezi huu. Amesema mpango wao…

Read More

Simba yarusha taulo kwa Tshabalala!

UONGOZI wa klabu ya Simba ni kama umekubali ya ishe juu ya aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ baada ya kukiri kushindwa kumuongezea mkataba mpya. Ipo hivi. Simba kupitia Ofisa Habari, Ahmed Ally amesema uongozi ulianza kufanya mchakato wa mazungumzo kabla ya mkataba kumalizika, lakini hadi sasa makubaliano ya pande zote mbili hayajafikia…

Read More

Aucho aigomea Yanga, kuibukia huku!

HAKUNA ubishi mashabiki wa Yanga wanafahamu kuna baadhi ya mashine zilizowapa heshima msimu uliopita kwa kutwaa mataji matano zinaweza kuondoka kwa ajili ya kusukwa upya kwa kikosi kijacho kwa msimu mpya wa mashindano. Hata hivyo, hakuna aliyeliweka akilini jina la Khalid Aucho kutokana na nyota huyo raia wa Uganda kuwa kipenzi cha Wanajangwani na hasa…

Read More

Too Much wababe mashindano ya Ngalawa

NGALAWA ya Too Much imeibuka mshindi wa kwanza katika mbio za ngalawa, kati ya tisa zilizoshiriki mashindano hayo yaliyofanyika Fumba, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Katika mashindano hayo, nafasi ya pili imekwenda kwa Wape Kazi, huku Ubaya Ubwela ikishika nafasi ya tatu. Utoto Raha imeshika nafasi ya nne, Atoae Mola (5), Mungu Ibariki (6), Msihofu…

Read More

Kisa gharama, Pamba nusura ipigwe bei

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amesema wanakabiliwa na changamoto ya gharama kubwa za uendeshaji wa timu ya Pamba Jiji jambo ambalo lilisababisha msimu ulioisha watake kuiuza baada ya kutofanya vizuri. Kibamba alitoa kauli hiyo juzi jijini hapa katika mkutano na wadau wa michezo ulioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said…

Read More

Msimamo wa Azam kwa Fei Toto

WAKATI ikielezwa klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ikirudi Azam FC ikiwa na dau ya Dola 350,000 ili kumnasa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’, huku tetesi zingine zikisema kuwa yupo mbioni kurejea Yanga, mabosi wa matajiri hao wameibuka na kutoa msimamo. Mabosi wa klabu hiyo iliyomaliza katika nafasi ya tatu…

Read More

Mfaransa aanika dili la Yanga SC

YANGA ilikuwa na hesabu na makocha wawili raia wa Ufaransa, lakini mmoja amefunguka sababu zilizomfanya kurudi nyuma kukubaliana na dili hilo. Kocha aliyefunguka hayo ni Julien Chevalier ambaye amemaliza msimu akiwa na ASEC Mimosas ya Ivory Coast, ambapo amekiri mbele ya Mwanaspoti kwamba alikuwa na hesabu za kutua Jangwani. Chevalier alisema sio rahisi kuachana na…

Read More

Mogella: Yanga inaizidi Simba hapa

LEGENDARI wa soka nchini aliyewahi kutamba na klabu za Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa, Taifa Stars, Zamoyoni Mogella ‘Golden Boy’ ametoa mtazamo akisema ujanja iliyonao Yanga kiasi cha kuizidi Simba ni kitendo cha kusajili wachezaji wenye viwango vya juu, vilivyoipa klabu mafanikio. Mshambuliaji huyo aliyewahi kucheza soka la kulipwa nje ya nchi,…

Read More