
Xavi aachiwa msala JKT | Mwanaspoti
KUELEKEA msimu ujao wa mashindano ya Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens inaendelea kujiimarisha na sasa inadaiwa kumsajili kocha wa timu za vijana za Simba, Mohamed Mrishona ‘Xavi’, akichukua mikoba ya Esther Chabruma ‘Lunyamila’. Licha ya kuipa ubingwa wa Ligi Kuu msimu uliopita, JKT imempa mkono wa kwaheri baada ya kumaliza mkataba na Wanajeshi hao…