
JKU Academy, Luxury FC zatembeza vichapo Yamle Yamle Cup
JKU Academy na Luxury FC, zimetembeza vichapo kwa wapinzani wao katika mechi za jana Jumanne Julai 15, 2025 ikiwa ni mwendelezo wa mashindano ya Yamle Yamle Cup yanayofanyika kisiwani hapa huku yakichezwa Uwanja wa Mao A na B, Mjini Unguja. Katika mchezo uliochezwa jana Jumanne Julai 15, 2025, saa 10 jioni, JKU Academy iliichapa Mambosasa…