
Nidhamu ilimbeba Nyamoko Taifa Cup
KAMISHINA wa ufundi na mashindano wa shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini (TBF), Daniel Patrick amesema nidhamu ndiyo iliyombeba Miyasi Nyamoko achaguliwe kuwa kocha bora. Patrick alisema hayo baada ya lawama za baadhi ya makocha, Nyamoko hakustaili kuwa kocha bora kutokana na timu yake kushika nafasi ya pili. Alisema uteuzi wa kocha bora, uliangaliwa na…