Pazi wanawake kuja kivingine | Mwanaspoti

KOCHA wa Pazi, Karimu Bakari Mbuke amesema mechi zilizosalia dhidi ya Real Dream, UDSM Queens, Twalipo Queens, DB Lioness, Kigamboni Queens na Vijana Queens zipo ndani ya uwezo wao kuhakikisha wanashinda na kutinga hatua ya robo fainali. Mbuke licha ya kukiri Ligi ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) msimu huu ni ngumu hasa kwa…

Read More

Yanga yampa miwili kiungo Mkenya

UONGOZI wa kiungo Lydia Akoth raia wa Kenya, umesema mchezaji huyo amenunuliwa na Yanga Princess baada ya mkataba wa mkopo wa miezi sita kumalizika. Kiungo huyo alisajiliwa dirisha dogo la msimu uliomalizika akitokea Kenya Police Bullets FC ya nchini kwao na sasa ni mchezaji halali wa Yanga Princess kuanzia Agosti Mosi baada ya kusaini mkataba…

Read More

Baresi anukia Tanzania Prisons | Mwanaspoti

LICHA ya Amani Josiah kuiepusha Tanzania Prisons na janga la kushuka daraja msimu wa 2024-2025, inaelezwa mabosi wa timu hiyo wameanza mazungumzo ya kumrejesha aliyekuwa kocha wa kikosi hicho, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, ambaye kwa sasa yupo huru. Baresi aliyeifundisha timu hiyo kwa nyakati tofauti, kwa sasa yupo huru tangu alipoachana na Mashujaa FC, Februari 26,…

Read More

Gamondi anataka majembe ya kazi Singida Black Stars

KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi anatarajia kuwasili nchini mwisho wa mwezi huu huku akiutaka uongozi wa timu hiyo kumsajilia nyota wenye uzoefu ambao watampa taji na kutoa ushindani kimataifa. Gamondi anarudi nchini kwa mara ya pili baada ya kuinoa Yanga kwa mafanikio na kuondoka Novemba 2024 akikaa kwa takribani msimu mmoja na…

Read More

Simba, MVP Uganda wako mezani

INAELEZWA Simba Queens inaelekea kukamilisha usajili wa winga wa Kampala Queens ya Uganda, Zainah Nandede kwa mkataba wa miaka miwili. Simba Queens ilimaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania msimu uliopita kwa tofauti ya mabao dhidi ya JKT Queens zote zikikusanya pointi 47. Winga huyo aliyeibuka na tuzo ya mchezaji…

Read More

Simba, Nabi kuna kitu | Mwanaspoti

KUNA kitu kilikuwa kinaendelea kati ya kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi na viongozi wa Simba ambacho kimemalizika kwa mmoja wao kununa. Kocha huyo maarufu nchini anayeinoa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini alikuja nchini na mzigo akitaka kununua mashine moja ndani ya Simba. …

Read More

Salomon Kalou ataja nondo tatu za Ecua

KAKA wa nyota wa zamani wa Chelsea na Ivory Coast, Salomon Kalou, aitwaye Bonaventure Kalou, ameweka wazi sifa tatu zinazomtofautisha kiungo mpya anayetajwa kujiunga na Yanga SC, Celestin Ecua. Staa huyo inaelezwa amejifunga mkataba wa miaka miwili Jangwani akitokea Zoman FC. Bonaventure, 47, ambaye alicheza soka la kulipwa kwa mafanikio kuanzia Ivory Coast ambako alitamba…

Read More

Twiga Stars yaaga WAFCON ikipoteza 4-1 dhidi ya Ghana

Twiga Stars imeondolewa kwenye mashindano ya WAFCON 2024 yanayoendelea huko Morocco baada ya kupoteza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Ghana kwa mabao 4-1. Bao la Twiga limefungwa na Stumai Abdallah huku mabao ya Ghana yakifungwa na Pricella Adubea, Alice Kusi, Evelyn Badu na Chantelle Boye. Katika mchezo huo Twiga ilitakiwa kupata…

Read More

MO: Tutasajili kimkakati, fedha zipo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amesema  klabu hiyo itarudi kwa nguvu msimu ujao, huku akitangaza maboresho maeneo mbalimbali. MO amesema hayo usiku huu wakati akizungumza kupitia akaunti yake Instagram. Amesema Simba itarejea na nguvu kubwa msimu ujao akiahidi kufanya maboresho kuanzia usajili utakaokuwa wa kimkakati. …

Read More