Zikibaki siku 26, Mukoko, Yacouba, Inonga wapo Dar
HAKUNA anayejua nini kinachoendelea wakati dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa Januari mwakani, lakini ni kwamba kama hujui nyota wa zamani wa Simba na Yanga Mukoko Tonombe, Yacouba Songne na Henock Inonga wapo Dar wakisikilizia dili jipya. Mukoko na Yacouba waliwahi kuitumikia Yanga wakati Inonga alikipiga Simba inayoelezwa ilimbeba juu kwa juu wakati akiwa njiani…