MO DEWJI: NIMETUMIA BILIONI 87 KWA AJILI YA SIMBA SC

Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji) amethibitisha kuwa kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ametumia zaidi ya Shilingi Bilioni 80 (Tsh. 87 B) kwenye masuala mbalimbali kwa ajili ya Klabu hiyo. Mohammed amesema hayo kupitia ‘video’ yake aliyoichapisha kwenye mtandao wa ‘Instagram’. Amesema kiasi…

Read More

Kibu atemwa, Taifa Stars ikijiandaa na CHAN

Kambi ya Taifa Stars inayoendelea Ismailia, Misri, imepamba moto huku maandalizi ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 yakiendelea kwa kasi. Hata hivyo, kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Dennis, ameachwa rasmi kwenye kikosi. Kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Suleiman ‘Morocco’ pamoja na benchi lake la ufundi…

Read More

Hersi ataja mambo matatu usajili mpya Yanga

RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema wana mambo matatu magumu kipindi hiki cha usajili wa dirisha kubwa ambayo wanatakiwa kuyazingatia ili kufikia mafanikio msimu ujao. Hersi amefunguka hayo alipozungumza na Mwanaspoti ambapo amesema jambo la kwanza ni kusajili nyota wenye uzoefu mkubwa, pili kuwa na benchi la ufundi bora ambalo litaendana na ubora wa wachezaji…

Read More

Makocha wamjaza upepo Ngushi, aitaja Simba SC

STRAIKA wa Mashujaa, Chrispin Ngushi amesema anajivunia kuendelea kuaminiwa na makocha katika timu alizopita kwa kumpa nafasi kuonyesha uwezo wake, huku akiitaja mechi dhidi ya Simba kumpa ugumu. Ngushi ambaye aling’ara akiwa na Mbeya Kwanza aliyoipandisha Ligi Kuu msimu wa 2021-2022, baadaye alijiunga na Yanga kwa msimu mmoja kisha kupelekwa Coastal Union kwa mkopo na…

Read More

Burkina Faso yataja 25 kuivaa Stars CHAN

JOTO la fainali za michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), linazidi kupanda taratibu ambapo Burkina Faso imetaja wachezaji 25 watakaoshiriki kwenye fainali hizo. Burkina Faso ambayo itacheza mchezo wa kwanza wa ufunguzi dhidi ya wenyeji Tanzania, Agosti 2 mwaka huu ukiwa ni wa kundi B, kwenye kikosi chake imewajumuisha makipa…

Read More

Kivumbi cha mbio za magari kipo Morogoro

KLABU ya Mount Uluguru ya Morogero imefungua rasmi daftari la usajli kwa washiriki wa raundi ya tatu ya mbio za magari ubingwa wa taifa ukiwa ni mwezi mmoja kabla ya mbio hizi kutimua vumbi katikati ya mwezi Agosti. Mwenyekiti wa klabu, Gwakisa Mahigi alitangaza rasmi kufungua daftari la usajili katika mkutano na waandishi wa habari…

Read More

Rogath Akhwari ajitosa urais RT

HOMA ya uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) imezidi kupanda, huku zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kufungwa kwa zoezi la uchukuaji na urudishwaji wa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya shirikisho hilo. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 16 mwaka huu jijini Mwanza na nafasi zinazowaniwa ni Rais wa RT…

Read More

Kumradhi Nehemiah Mchechu | Mwananchi

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen, na Mwanaspoti, inaomba radhi kwa Nehemiah Kyando Mchechu kutokana na makala iliyochapishwa katika toleo Na. 4551 la gazeti la The Citizen Ijumaa la Machi 23, 2018. Tunakiri kuwa habari hiyo ilikuwa na tuhuma ambazo zimebainika kuwa za kudhalilisha dhidi ya Mchechu na ilikuwa…

Read More

 Kumradhi Nehemiah Mchechu | Mwananchi

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen, na Mwanaspoti, inaomba radhi kwa Nehemiah Kyando Mchechu kutokana na makala iliyochapishwa katika toleo Na. 4551 la gazeti la The Citizen Ijumaa la Machi 23, 2018. Tunakiri kuwa habari hiyo ilikuwa na tuhuma ambazo zimebainika kuwa za kudhalilisha dhidi ya Mchechu na ilikuwa…

Read More