
Dodoma Jiji yamnasa kiungo wa Tabora United
DODOMA Jiji imeanza kujipanga mapema kwa msimu ujao na sasa imeshanasa saini ya kiungo wa Tabora United, Nelson Munganga aliyekuwa akiwindwa na Namungo ya mkoani Lindi. Mkongomani huyo (31) aliyetua Tabora msimu uliomalizika akiitumika mwaka mmoja akifunga bao moja, huku akiwa miongoni mwa wachezaji bora katika safu ya kiungo ya kikosi hicho. Mwanaspoti linafahamu, miongoni…