
Ayoub Lakred avunja ukimya | Mwanaspoti
SIKU chache tangu amalizane na Simba, kipa Ayoub Lakred aliyetua FUS Rabat ya Morocco, amevunja ukimya kwa kufichua kuwa, licha ya kuondoka Msimbazi, lakini klabu hiyo itaendelea kuwa moyoni mwake kwa namna alivyoishi nayo, huku akiitaja Yanga. Lakred aliyeitumikia timu hiyo kwa msimu mmoja ya kupata majeraha yaliyomweka nje kwa muda mrefu, licha ya kuendelea…