
Mavambo atajwa Singida Black Stars
BAADA ya kushindwa kufanya kile kilichotarajiwa na Simba, kiungo mkabaji mwenye uraia wa Angola na DR Congo, Debora Fernandes Mavambo anatajwa kutimkia Singida Black Stars msimu ujao. Debora alijiunga na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu mwanzo mwa msimu ulioisha akitokea Mutondo Stars ya Zambia. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kimeliambia Mwanaspoti Mavambo…