
Ecua deal done! Hersi athibitisha
MASHABIKI wa Yanga wana uhakika wa kutamba sasa, baada ya klabu yao kujihakikishia dili la kumnasa mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Celestin Ecua ambaye atasaini mkataba wa miaka miwili na timu hiyo. Uhakika wa Yanga unatokana na bosi wao injinia Hersi Said kufanya umafia kuiwahi saini ya mshambuliaji huyo mwenye kasi akimalizana na klabu yake….