
Twiga Stars, Banyana Banyana zagawana pointi WAFCON 2025
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imeipa mshtuko Afrika Kusini ‘Banyana Banyana’ baada ya kuilazimisha sare ya bao 1-1 katika mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024 kwenye Uwanja wa Honneur, Oujda Morocco. Katika mchezo huo, Twiga Stars ilitangulia kupata bao katika dakika ya…