
Tuhamishie nguvu zote katika CHAN sasa
YALIYOPITA si ndwele na kijiwe kinatembea na kauli hiyo muda huu mfupi ambao umebakia kabla ya kuanza kwa Fainali za Mafaifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2024. Ni mashindano yatakayofanyika katika ardhi yetu kwa maana Tanzania ni miongoni mwa nchi tatu wenyeji wa mashindano hayo ambayo kwa mara ya kwanza yalifanyika…