
WAFCON 2024: Twiga Stars hata droo tu
BAADA ya kuanza vibaya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), timu ya taifa ya soka ya wanawake, Twiga Stars usiku wa leo inarudi tena uwanjani kutesti zali kwa kukabiliana na watetezi wa taji hilo, Afrika Kusini ‘Banyana Banyana’. Twiga ilianza kwa kulambwa bao 1-0 na Mali katika mechi ya kwanza ya…