
Polisi Tanzania yapata tumaini kwa Makatta, yaapa kupanda Ligi Kuu
Timu ya Polisi Tanzania imeonyesha dhamira ya dhati ya kufanya vizuri msimu ujao wa Ligi Daraja la Kwanza (Championship), baada ya kumsaini rasmi kocha mwenye uzoefu Mbwana Makatta kwa mkataba wa miaka miwili. Akizungumza leo Julai 10, 2025 jijini Dodoma, Ofisa Habari wa Polisi Tanzania, Inspekta Frank Lukwaro, amesema uongozi wa timu hiyo umejiridhisha na…