
Kambi yanga iko huku | Mwanaspoti
YANGA imebakiza hatua chache kumtangaza kocha mpya wa timu hiyo, lakini mezani kwa mabosi wao kuna nchi tatu zinataka kuona ufundi wa kwanza wa mtaalamu huyo wa ufundi. Yanga inaelezwa imeshamalizana na kocha mpya wa kuchukua nafasi ya Miloud Hamdi aliyetimkia Ismailia ya Misri, huku jina la Julien Chevalier aliyekuwa Asec Mimosas ya Ivory Coast…