
Dili la Bwalya laingia dosari Pamba Jiji
DILI la aliyekuwa kiungo wa Simba, Mzambia Larry Bwalya la kujiunga na Pamba Jiji msimu huu limeingia dosari baada ya nyota huyo kudaiwa bado ana mkataba wa miaka miwili na Napsa Stars inayommiliki, licha ya kukiri yupo huru. Taarifa ambazo Mwanaspoti limezipata zinadai kiungo huyo hakuwa mkweli kwa uongozi wa Pamba kwa kile alichoueleza amemaliza…