Tanzania Prisons inaanza na wachezaji hawa

BAADA ya uongozi wa Tanzania Prisons kufanya kikao cha tathimini ya timu hiyo ilichofanya msimu uliomalizika na kipi wakifanye ujao, wameanza mazungumzo ya kuwaongezea mikataba wachezaji wa kikosi chao. Katibu wa timu hiyo, John Matei amesema kwamba katika kikosi hicho kuna wachezaji ambao mikataba yao imeisha na wanahitaji kuendelea nao, hivyo kabla ya kuanza kusaka…

Read More

Ibenge ameanza na hili Azam FC

BAADA ya kukabidhiwa mikoba ya kuinoa Azam FC, Florent Ibenge ameanza rasmi kueleza mikakati na misimamo yake ya kazi kikosini na ameweka wazi nidhamu ndiyo kipaumbele cha kwanza kwa mchezaji kupata namba kikosi cha kwanza. Ibenge, ambaye ni kocha mwenye uzoefu wa soka la Afrika na ametwaa mataji mbalimbali kimataifa akitoka kuipa ubingwa wa ligi…

Read More

Ibenge ameanza na hili Azam FC

BAADA ya kukabidhiwa mikoba ya kuinoa Azam FC, Florent Ibenge ameanza rasmi kueleza mikakati na misimamo yake ya kazi kikosini na ameweka wazi nidhamu ndiyo kipaumbele cha kwanza kwa mchezaji kupata namba kikosi cha kwanza. Ibenge, ambaye ni kocha mwenye uzoefu wa soka la Afrika na ametwaa mataji mbalimbali kimataifa akitoka kuipa ubingwa wa ligi…

Read More

Musa Mbisa hataki tena presha Ligi Kuu

KIPA wa Tanzania Prisons, Musa Mbisa amesema presha waliyokutana nayo msimu ulioisha hivi karibuni, hawatarajii kujirudia msimu ujao, akiiweka mtegoni timu hiyo juu ya hatma yake. Timu hiyo ambayo ilisubiri hadi mchezo wa mwisho wa play off dhidi ya Fountain Gate, imekuwa na matokeo yasiyoridhisha kwa misimu kadhaa kukumbwa na presha ya kukwepa kushuka daraja….

Read More

Siku 22 za Camara Simba SC

ILIKUWA miezi, wiki na sasa ni siku tu, kwani mabosi wa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara wapo bize kwelikweli wakisuka mitambo kwa ajili ya msimu ujao, huku maandalizi mengine kama kambi yakiwa katika hatua za mwisho mwisho kwenda kujifua. Lakini, wakati hilo likiwa bado katika mazingira ya sintofahamu, kuna mambo mengine yanaendelea chinichini, huku…

Read More

Kocha Simba SC ashusha nondo

KAMA wewe ni shabiki wa Yanga au Simba elewa kwamba hii inakuhusu, kwani imepiga kotekote na kuna mambo ambayo hupaswi kuyakosa. Lakini, nyuma ya yote kuna kile ambacho kimekuwa kikiwaumiza zaidi mashabiki wa Simba kwa misimu minne mfululizo ambayo watani zao, Yanga, wamebeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara na kutembea mitaani vifua mbele. …

Read More

BDL ilihamia Taifa Cup | Mwanaspoti

Ushindani wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ulihamia katika fainali ya mashindano ya Kombe la Taifa kati ya Dar es Salaam na Mara, ambapo ulitokana na ubora wachezaji wa timu zote mbili kutokana na jinsi walivyozoeana wakutanapo kwenye BDL. Mara iliwakilishwa na mastaa kama Baraka Sabibi, Mussa Chacha wanaokipiga JKT ilhali…

Read More

Jesca avunja rekodi ufungaji | Mwanaspoti

Mchezaji wa JKT Stars na timu ya wanawake ya Mkoa wa Dar es Salaam, Jesca Ngisaise amevunja rekodi ya kufunga pointi nyingi peke yake, ambapo alivuka kiwango kilichozoweleka cha pointi zisizozidi 50 kwa mchezo ambacho mastaa wengi hufikia. Hata hivyo, katika mashindano Taifa alifunga pointi 90 peke yake kati ya 172-58 walizoifunga Dodoma, huku mchezo…

Read More