
Simba ni Misri au Uturuki
MABOSI wa Simba SC kwa kushirikiana na benchi la ufundi la timu hiyo wameanza mikakati ya maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26, ambapo imefahamika kuwa kambi imependekezwa tena kufanyika nje ya nchi ni ama Misri au Uturuki. Uamuzi huo umetokana na mapendekezo ya benchi la ufundi likiongozwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids ambaye inaelezwa amesisitiza…