
Kennedy Musonda atua Israel | Mwanaspoti
SIKU moja baada ya kuwaaga mashabiki wa Yanga baada ya kumaliza mkataba, mshambuliaji Kennedy Musonda amejiunga na Hapoel Ramat Gan inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Israel maarufu kama Liga Leumit. Jana, Musonda aliwaaga Wananchi ambao amewatumikia kwa miaka miwili na nusu na kuwafungia mabao 34, akitoa asisti 13 ambapo ametwaa mataji matatu ya ligi na…