
Twiga Stars yaanza mambo Wafcon 2024
LEO saa 4:00 usiku, timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itashuka kwenye Uwanja wa Stade Municipal de Berkane, Morocco, kuivaa Mali katika mchezo wa kwanza wa Kundi C ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024. Michuano hiyo ilianza rasmi Jumamosi kwa michezo ya kundi A, ambapo mwenyeji…