Mangalo, Mtibwa bado kidogo tu

BAADA ya kukaa nje ya uwanja msimu mzima akiuguza jeraha la goti, beki wa zamani wa Biashara United na Singida Foutain Gate, Abdulmajid Mangalo yupo kwenye hatua za mwisho kumalizana na Mtibwa Sugar. Mangalo ambaye alikuwa anajiuguza goti alirejea kwenye uwanja wa mazoezi tangu dirisha dogo la msimu ulioisha lakini hakupata ofa ambayo ingemfanya arudi…

Read More

Musonda avunja ukimya Yanga | Mwanaspoti

HAKUNA ubishi kwamba maisha ya mshambuliaji wa Kennedy Musonda ndani ya Yanga yamefikia tamati baada ya kuitumikia timu hiyo kwa misimu miwili na nusu, lakini mwenyewe ameamua kuvunja ukimya kwa kuzungumza kwa mara ya kwanza na Mwanaspoti. Nyota huyo wa kimataifa wa Zambia, alijiunga na Yanga katika dirisha dogo la msimu wa 2022-2023 akitokea Power…

Read More

Saliboko mikononi mwa maafande | Mwanaspoti

MAAFANDE wa JKT Tanzania wako katika mazungumzo kwa ajili ya kuipata saini ya mshambuliaji wa KMC FC, Daruweshi Saliboko ili kuichezea timu hiyo msimu ujao, baada ya kuonyesha nia ya kuhitaji kuondoka kwa ajili ya kutafuta changamoto mpya. Mmoja wa watu wa karibu na mchezaji huyo, aliliambia Mwanaspoti Saliboko ameanza mazungumzo na mabosi wa JKT,…

Read More

Singano ataja ugumu wa Mexico

BEKI wa FC Juarez inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Mexico, Julietha Singano amesema ugumu wa ligi hiyo unamfanya aonyeshe jitihada zaidi. Huu ni msimu wa tatu mfululizo kwa beki huyo wa timu ya taifa ‘Twiga Stars’ kuichezea timu hiyo akifanikiwa kuingia kwenye kikosi cha kwanza moja kwa moja mbele ya nyota kibao kutoka mataifa…

Read More

Safari ya Mwisho ya Baba wa Mbwana Samatta

FAMILIA  ya straika nyota na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta ipo katika majonzi makubwa kufuatia kifo cha baba yao mpendwa, Mzee Ally Samatta, aliyefariki dunia leo Jumapili baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza kwa majonzi, Rajabu Samatta mtoto wa kwanza wa marehemu, amesema, Mzee Samatta alikuwa akisumbuliwa kwa…

Read More

Wazir JR kutimkia Saudi Arabia

INAELEZWA Al Faisaly inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Saudia Arabia imemalizana na kocha Mhispania, Pablo Grandez lakini ametoa pendekezo la kuletewa straika Mtanzania, Wazir JR anayekipiga Al Minaa inayoshiriki Ligi Kuu nchini Iraq. Grandez hivi karibuni alikuwa anaifundisha Al Minaa anayoichezea Wazir Jr ambaye mkataba wake wa mkopo unaisha mwishoni mwa msimu. Chanzo cha karibu…

Read More

MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KUTOKA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (TICD) TENGERU WAPIMANA UBAVU.

Na.Ashura Mohamed -Arusha. Mashabiki wa Timu za Simba na Yanga ambao ni watumishi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru(TICD), wamecheza mechi ya kirafiki katika juhudi za kuendelea kudumisha mahusiano na ushirikiano katika maeneo ya kazi. Akizungumza katika bonanza hilo Mgeni rasmi Kaimu Naibu Mkuu wa chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD),anayeshughulikia Mipango na…

Read More

Ecua amtikisa Sowah Yanga | Mwanaspoti

PALE Jangwani mambo ni moto! Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wako mawindoni wakikamilisha kamilisha ishu zao za usajili kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, ambapo wameapa kwamba wanataka kuanzia walipoishia hapa nchini kwa kukomba kila kitu, lakini kule nje wakaupige mwingi Ligi ya Mabingwa Afrika. Kama unakumbuka kauli ya rais wa klabu hiyo,…

Read More

Mabosi Simba wamjadili Camara | Mwanaspoti

MAISHA yanaenda kasi sana unaambiwa, kwani kuna mambo nyakati flani msimu uliopita usingeweza kufikiria iwapo yangeibuka sasa na kutibua mioyo ya mashabiki wa Simba na hata viongozi. Wakati msimu wa 2024/25 unaanza Simba haikuwa na malengo makubwa, ikitembea na kauli kwamba inajenga timu mpya kwa ajili ya kuja kuitumia kutikisa Bara na Afrika miaka michache…

Read More