
Samatta apata pigo zito, afiwa na baba mzazi
NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagol’ kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Pazi Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia asubuhi hii ya Jumapili akiwa nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta. Kwa mujibu wa taarifa…