
Manyasi azigonganisha Singida BS, Mtibwa Sugar
BAADA ya msimu wa Ligi Kuu Bara kukamilika Juni 25, mwaka huu, timu zimeanza mipango ya kuimarisha vikosi kwa ajili ya msimu ujao ikiwemo kusajili wachezaji wapya na kuboresha maeneo yenye upungufu. Miongoni mwa hizo ni Mtibwa Sugar iliyopanda daraja na Singida Black Stars inayohitaji nguvu mpya kuelekea michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika –…