Tanzania Prisons, Mbeya City kupigwa pini Sokoine

MENEJA wa Uwanja wa Sokoine, Modestus Mwaluka amesema licha ya rekodi aliyoweka ya kutofungwa kwa uwanja huo, ataendelea kuwa mkali kwa timu zinazotumia uwanja huo kwa ajili ya mazoezi. Uwanja huo pekee mkoani Mbeya ndio hutumika mara kadhaa kwa timu za jijini humo kufanya mazoezi na mechi nyingine za mashindano ikiwa ni pamoja na za…

Read More

Pamba yarejea kwa straika Mzenji

BAADA ya mabosi wa Pamba Jiji FC kumkosa mshambuliaji wa Mlandege, Abdallah Iddi ‘Pina’, katika dirisha dogo la Januari 2025, inaelezwa wameanza tena harakati hizo upya, ili kuhakikisha msimu ujao anakichezea kikosi hicho cha ‘TP Lindanda’. Pamba ilianza harakati hizo tangu Januari 2025 za kumpata mshambuliaji huyo, ingawa hazikuweza kuzaa matunda, baada ya kuelezwa alisaini…

Read More

Wallace Karia mgombea pekee Urais TFF

Kamati ya Uchaguzi ya TFF Imewang’oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina moja la Wallace Karia anayetetea kiti hicho. Akitangaza ripoti ya usahili wa uchaguzi huo Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Wakili Kiomoni Kibamba, amesema Karia ndiye mgombea pekee aliyekidhi vigezo na kwa…

Read More

Kanuni ya mchujo itazamwe upya

WALIOSHAURI na kupitisha kanuni ya kuwepo mechi za mchujo inawezekana walikuwa na nia nzuri lakini baada ya kijiwe kufanya tathmini ya misimu kadhaa ambayo kanuni hiyo imetumika kina ushauri wake. Na hapa sio kwa Ligi Kuu tu bali hadi Ligi ya Championship na First League ambayo ni madaraja yanayoongozana katika ngazi ya soka la Tanzania….

Read More

Andrew Simchimba asakwa Dodoma Jiji

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza kumpigia hesabu mshambuliaji wa Geita Gold, Andrew Simchimba kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali, akitajwa ni mbadala sahihi wa aliyekuwa nyota wa kikosi hicho, Paul Peter aliyeondoka. Simchimba aliyezichezea timu mbalimbali ikiwemo pia, Coastal Union, Azam FC na Ihefu ambayo kwa sasa ni Singida Black Stars, yupo katika…

Read More

Vita ya BDL kurudi Julai 10

BAADA ya kukosa kuangalia utamu wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kwa wiki mbili, ligi hiyo itaendelea tena Julai 10,  kwenye Uwanja wa Donbosco, Upanga. Ratiba iliyotolewa na kamishina wa ufundi na mashindano wa BDL, Haleluya Kavalambi, imeonyesha mchezo wa kwan-za utakuwa   kati ya Kurasini Divas na DB Troncatti, ukifuatiwa na…

Read More

Watu hawa hatarini kuugua bawasiri

Dar es Salaam. Iwapo unatumia simu yako unapoenda haja kubwa, huenda ukawa kwenye hatari ya kuathiriwa na kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Ugonjwa huu unafahamika kwa kimombo kama hemorrhoids au bawasiri/hemoroidi kwa Kiswahili. Dk Mark Siboe, daktari wa upasuaji, anasema kuwa kutumia nguvu nyingi unapoenda haja…

Read More

Mido ya boli awindwa Azam FC

MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, wanaendelea na maboresho ya kikosi hicho kimya kimya kwa ajili ya msimu ujao ili kuleta ushindani, ambapo kwa sasa wameanza mazungumzo ya kuipata saini ya kiungo nyota wa KMC, Ahmed Bakari Pipino. Azam iliyomaliza katika nafasi ya tatu kwa pointi 63 katika Ligi Kuu Bara msimu…

Read More

Stand United, Fountain Gate kitawaka Shinyanga

VITA ya kuisaka tiketi ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao inaendelea leo kwa mechi ya play-off kati ya wenyeji Stand United ya Ligi ya Championship na Fountain Gate ya Ligi Kuu Bara, itakayopigwa kwenye Uwanja wa Kambarage, mjini Shinyanga. Chama la Wana linapambana kutaka kurejea Ligi Kuu kuungana na Mtibwa Sugar na Mbeya City…

Read More