
Kocha Hamdi avunja ukimya, aanika ukweli kuondoka Yanga
SIKU chache tu tangu aiwezeshe Yanga kubeba mataji mawili kwa mpigo kati ya matatu aliyotwaa tangu alipojiunga nayo Februari 4 mwaka huu, kocha Miloud Hamdi amewafanya sapraizi mashabiki wa klabu hiyo, huku akifunguka kila kitu kuhusu maisha akiwa Jangwani na safari nzima anayoenda kuanza akiwa Misri. Kocha huyo raia wa Algeria, juzi usiku alitamabulishwa na…